Spurs wata kubali?Perez ameonekana jijini London kukamilisha deal la Harry Kane kutua Madrid.
Hii ni habari njema sana maana Benzema kazingua mno
Spurs wata kubali?
Nilikuwa napitia instagram page ya Madrid fans nikaona habari picha kuhusu hili. Sasa naanza kuamini.Perez ameonekana jijini London kukamilisha deal la Harry Kane kutua Madrid.
Hii ni habari njema sana maana Benzema kazingua mno
Hata mm nimeiona nilidhani utani kumbe siriazNilikuwa napitia instagram page ya Madrid fans nikaona habari picha kuhusu hili. Sasa naanza kuamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nimeiona nilidhani utani kumbe siriaz
Ndo hapo sasaTaarifa mbaya zaidi benzema kupelekwa castilla kwa mkopo wa mwk mmoja hadi tutakapo pata striker mzuri
...hivi kwa nn Ronaldo asicheze striker
Ngoja tupambane na hali yetu ya ubenzemaMbape ameshaenda PSG nilijua nyie ndio mtamchukua?
Yaani Perez amezingua sana kashindwa kununua striker mmoja wa uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, club ilishafunga mambo ya usajili siku nyingi, na hata Zidane mara kadhaa amekuwa akisistiza kuwa hana mpango wa kuongeza mchezaji yoyote kwnye kikosi chake, ina maana tayari anajua atawatumia Vp vijana wake, na kwasasa ina maana tutaswtch kwenda 4-4-2 idea ikiwa ni kumdrop mmoja wa BBC.Yaani Perez amezingua sana kashindwa kununua striker mmoja wa uhakika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Dogo alikuwa anademand mshahara mkubwa sana, ninaona club hawakuafikiana na camp yake juu ya hizo demand. Perez haoni shida kutoa pesa ndefu kumnunua mchezaji, but ni lazima aone club itafaidika je ndani na nje ya uwanja, na ukizingatia kuwa hatuna shida kihivyo na foward, so haikuwa necessary kutoa pesa ndefu hivyo kwa kijana atayekuja kukaa bench!!Mkuu nimemuona Mbappé kapiga bao na timu yao ya taifa jana, we acha tu. Yule dogo angekuja Bernabéu hakuna mtu angetutania
Wala sio rumors, ndio itakuwa hivyo, tuna wakali wengi sana kwnye kiungo na ili atleast wapate nafasi ya kucheza ni kupiga 4-4-2, na sababu ya kutokurudi sokoni kwa ajili ya striker ni hiyo moja ya CR7 kucheza kama striker.Nimeona kwny Madrid rumours kuwa Ronaldo inavyoonekana atakua anacheza role y no9 nadhan Asensio au isco mmoja atakula ubapa