Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Man, tulivyoanza haikuwa easy maana threads zetu kama hizi zaidi ya tano zilitiwa kapuni au kuunganishwa na ile ya Kikwete kuwaleta Real Madrid Bongo. Kuna mashabiki wa clubs nyingine wakatuvunja moyo kwanini tuanzishe thread ambayo haina wachangiaji kwasababu watu wote macho yao ni EPL. We keep proving them wrong, Real Madrid iko na Fanbase kubwa sana duniani [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
A kind reminder kuwa Real Madrid pia ndio club yenye wafuasi wengi zaidi kwenye mitandao ya kijamii kwa ujumla. Kila mtu, awe shabiki au lah, wote wanataka kujua kuhusu Madrid.