cherie neisha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,873 Reaction score 20,705 Aug 13, 2017 #31,601 Salamander said: Usishanga Zidane akampeleka Isco bench Benzema akabaki uwanjani. Click to expand... Benzema mziiiito
Salamander said: Usishanga Zidane akampeleka Isco bench Benzema akabaki uwanjani. Click to expand... Benzema mziiiito
cherie neisha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,873 Reaction score 20,705 Aug 13, 2017 #31,602 Salamander said: We need Asensio here. Click to expand... We sure do
cherie neisha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,873 Reaction score 20,705 Aug 14, 2017 #31,603 pierre tall said: Yaan hapa mmoja kati ya bale au benzema afanyiwe sub...au wote kwa pamoja Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app Click to expand... Benzema Sina hata hamu ya kumwona
pierre tall said: Yaan hapa mmoja kati ya bale au benzema afanyiwe sub...au wote kwa pamoja Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app Click to expand... Benzema Sina hata hamu ya kumwona
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,534 Reaction score 32,757 Aug 14, 2017 #31,604 barca ni mbovu,lakini kwenye hii game barca amemfunika madrid
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,184 Aug 14, 2017 #31,605 pachanya said: Isco amebadilika sana toka msimu uliopita.Amekua kwenye kiwango bora Mno. Click to expand... Na ndie aliekuwa mwiba kwa Man U. Yan kaea mtamu balaa. Sema amekosa wamaliziaji wazuri
pachanya said: Isco amebadilika sana toka msimu uliopita.Amekua kwenye kiwango bora Mno. Click to expand... Na ndie aliekuwa mwiba kwa Man U. Yan kaea mtamu balaa. Sema amekosa wamaliziaji wazuri
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,184 Aug 14, 2017 #31,606 pierre tall said: Yaan hapa mmoja kati ya bale au benzema afanyiwe sub...au wote kwa pamoja Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app Click to expand... Assensio, Ronaldo na Vazquez waingie tu. Bale na Benzema wameshindwa kazi
pierre tall said: Yaan hapa mmoja kati ya bale au benzema afanyiwe sub...au wote kwa pamoja Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app Click to expand... Assensio, Ronaldo na Vazquez waingie tu. Bale na Benzema wameshindwa kazi
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,184 Aug 14, 2017 #31,607 Wamejifunga..
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,259 Reaction score 3,756 Aug 14, 2017 #31,608 Shakira kaikatia ndani mwenyewe...gooooal..... Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
cherie neisha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,873 Reaction score 20,705 Aug 14, 2017 #31,609 Marcelo12
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,259 Reaction score 3,756 Aug 14, 2017 #31,610 Kwa kawaida huwa huyu jamaa akijifunga huwa anapagawa nakuanza kupanda mbele hovyo hovyo ili afute makosa yake....sasa kama tungekuwa na foward nzuri hapo tunawapa kipigo kitakatifu Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kwa kawaida huwa huyu jamaa akijifunga huwa anapagawa nakuanza kupanda mbele hovyo hovyo ili afute makosa yake....sasa kama tungekuwa na foward nzuri hapo tunawapa kipigo kitakatifu Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
HAKUNAMATATA JF-Expert Member Joined Jun 29, 2017 Posts 1,006 Reaction score 2,289 Aug 14, 2017 #31,611 Its Marcelo Sent using Jamii Forums mobile app
cherie neisha JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,873 Reaction score 20,705 Aug 14, 2017 #31,612 Wacha wajifunge
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 15,930 Reaction score 27,184 Aug 14, 2017 #31,613 sergio 5 said: Possession Barca 93 Madrid 7 Click to expand... Hiyo ya Azam. Siyo ya kwenye ulimwengu wa kidigital
sergio 5 said: Possession Barca 93 Madrid 7 Click to expand... Hiyo ya Azam. Siyo ya kwenye ulimwengu wa kidigital
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 14, 2017 Thread starter #31,614 Marcelo with the assist, Pique with the goal. Defenders unite to give Madrid the lead!!
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 14, 2017 Thread starter #31,615 Ronaldo On and Benzema Off
Namuhi JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 1,068 Reaction score 1,103 Aug 14, 2017 #31,616 Red Giant said: Mkuu upo? Click to expand... Nipo sana mkuu..ukata ulinitembelea mpk bando nikashindwa kununua. Sent using Jamii Forums mobile app
Red Giant said: Mkuu upo? Click to expand... Nipo sana mkuu..ukata ulinitembelea mpk bando nikashindwa kununua. Sent using Jamii Forums mobile app
Namuhi JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 1,068 Reaction score 1,103 Aug 14, 2017 #31,617 majambota said: bale bale jamani badilika, fungua miguu hiyo na mwili Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bale ni mzigo kwa trending aliyonayo sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
majambota said: bale bale jamani badilika, fungua miguu hiyo na mwili Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Bale ni mzigo kwa trending aliyonayo sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 14, 2017 Thread starter #31,618 Asensio comes ON for Kovacic. An attacking change by Zidane. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Aug 14, 2017 Thread starter #31,619 Kovacic was in pain when he was substituted. I hope he is okay.
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,259 Reaction score 3,756 Aug 14, 2017 #31,620 Sasa uncle anataka kufunga goli gan hapa... Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app