Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Ninaona bado gari halijawaka , ninadhan kwenye game itakayofuata kidogo vijana watakuwa wameamka,Captain Marcelo
Ninaona bado gari halijawaka , ninadhan kwenye game itakayofuata kidogo vijana watakuwa wameamka,Captain Marcelo
Mkuu upo? Karibu tena, ndio safar inaanza hivyo.Mbona foul nyingi sana. Kwa mtindo hu zitafika mia.
Shukrani mkuu. Mwaka mwingine wa burudani unaanza.Mkuu upo? Karibu tena, ndio safar inaanza hivyo.
Nasikia yupo china?Kwanini Ronaldo hayupo ... Hachezi.
Ni majeruhi????
Ana holiday mpaka tar 5 august ndo atajiunga na kikosiKwanini Ronaldo hayupo ... Hachezi.
Ni majeruhi????
Achraf Hakimi vs Manchester United 24.07.2017
Achraf Hakimi vs Manchester United 24.07.2017