Haaa haaa hata kama nina mahaba naye ila Man of the Match anatakiwa kupewa kati ya Isco,Ton Krose au Casemiro hawa Watu leo wamepiga mpira Mwingi sana aisee.
Ila Ronaldo huyu jamaa huwa anakuwa mnyama Zaidi pale timu inapovuka robo fainal huwa haa mini kama kuna kushindwa tena.
Congratulation na wewe bro! We deserve it. We suffered a lot this season, most important thing I said it before, tonight we shut all our critiques and those who doubted us from game 1, those who made fun of us all along, those who overrated all our opponents this entire time, tonight is the night we won against the World.
Casemiro hapana kwa kweli, Mzee Buffon alikuwa anasubiria kubeba ndoo ya UCL kwa mara ya kwanza astaafu, sasa ninaona anastaafu bila Hiyo ndoo, labda wajaribu tena msimu ujao.