Kazi waliopiga hawa vijana imetukuka sana, Luka alikuwa anafanya anachotaka, Casemiro mmh, weka mbali na watoto, bila kumsahau Dani Carvajal, nimependa kila kitu vijana wetu walichofanya!!
Hawampi maana alianza Shakira Buffon deserve this Ballon d'or.
Mara Xavi naye hivyo hivyo.
Na gazeti lao nalo hivyo hivyo
Sasa kwa kumhurumia tu apewe tuwasikilize mahasimu wetu jamani.
CR7 kachua kombe na kiatu basi ballon d'or amwachie Buffon ili Timu andunje(Messi) wafurahi
Ronaldo kazaliwa kuweka na kuzivunja hizo rekodi
Kiukweli lazima Real Itambue thamani yake na imthamini sana akiwa bado mchezaji hata wampe upande wa uwanja waite jina lake
Ametuokoa sana na kavunja rekodi zote za akina Bernabeu
Real Madrid C.F. fans celebrate at the Santiago Bernabéu after winning a 12th European Cup and become the first to claim the UEFA Champions League in back-to-back seasons