Kiukweli anatuchanganya sana yaani clear chances anapoteza khalafu kama hajali vile yaani yupo yupo tu.Huwa sielewi Zidane anaona nini cha zaidi kwa Benzema ambacho Morata hana.
Hii ngoma bado mbichi sana. Mechi mlizobakiza ndiyo ngumu.Hili kombe la liga tumeshabeba sina shaka kabisa.
Hakuna mechi ngumu hapo... Kombe letu hilo.Hii ngoma bado mbichi sana. Mechi mlizobakiza ndiyo ngumu.
Sevilla waliwafunga, celta waliwafungs CDR,malaga ndiyo hao wamoto kweli saizi.Hakuna mechi ngumu hapo... Kombe letu hilo.
Celta iliyomfunga Madrid sio hii ya sasa na Sevilla iliyomfunga Madrid sio hii sasa.Hata Atletico alimsumbua Madrid mwanzoni last week kapigwa 3 bilaSevilla waliwafunga, celta waliwafungs CDR,malaga ndiyo hao wamoto kweli saizi.
Mkuu sevilla na celta wamebadilika nini?Celta iliyomfunga Madrid sio hii ya sasa na Sevilla iliyomfunga Madrid sio hii sasa.Hata Atletico alimsumbua Madrid mwanzoni last week kapigwa 3 bila
Sevilla waliwafunga, celta waliwafungs CDR,malaga ndiyo hao wamoto kweli saizi.
Jamaa wamedrop form lakini lolote linaweza kutokea maana ni timu kubwa hizo. celta wanapoteza sababu walikamia Europa. tarehe 17 watakuwa hawawazii Europa.Real Madrid is on fire, atakayekuja mbele halali yetu. Game walizotufunga Sevilla na Celta labda hukuziangalia kwahiyo halali yako kujipa moyo. Juzi Sevilla wameshindwa kuwazuia Sociedad nyumbani kwao ndio watawaweza hungry Real Madrid at the Bernabéu? Celta weupe walikuwa wapigwe kitambo tu sema wanarukaruka, tena watakula nyingi tu. Malaga wanabebwa na Kameni, lakini hii timu inacreate chances nyingi atadaka mpaka ataachia tu.
Sevilla walikuwa kwenye mbio za kuwania ubingwa na round of 16 Champions league wakashindwa kuhandle pressure na rumours za Sampaoli kutakiwa na Barca/Argentina zikawapoteza kabisaMkuu sevilla na celta wamebadilika nini?