Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #28,761
Theo, Marcos Llorente and Vallejo all will be joining the squad next season. Scary stuff.
Huyo dogo hajitambui kaenda kuua mpira wake angebaki Atletico tu ,AS saying that theo has signed his contract with Real Madrid. [HASHTAG]#WELCOMETHEO[/HASHTAG]
Na wachezaji wengi sana sana makinda wanao enda real wanajutia uamuzi wao maana play time ni ndogo sana na mwisho wa siku wanakosa hata timu za taifa.
Kina Morata wanajutia kurudi Real, bora wangebakia Juventus
Yule Mnorwei nae atakua anajuta sana kuofahamu Real