Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #28,281
FULL TIME: Deportivo 2-6 Real Madrid (Goals: Morata, James x2, Isco, Lucas, Casemiro)
sija angalia gem ila muwakilishi wangu kaniambia it was a team playingMorata's positioning is absolutely brilliant, he is good at reading game and that's what Benzema has been missing this season besides his goal scoring capability.
Mmmmh! Ila Kiko kwa mechi zenye presha anakuwa kama taulo lilioanikwa. Hata mtoto analianua! Simuamini kabisa! Mevhi zake ni kama hii ya leo!Aisee natamani kikosi cha game dhidi ya ATM kule UEFA kikosi kiwe hivi: 1 KIKO ,2 CARVAJAL,3 MARCELO, 4 PEPE/VARANE, 5 RAMOS/NACHO, 6 CASEMIRO, 7 JAMES, 8 MODRIC/ISCO, 9 MORATA, 10 RONALDO, 11 ASENSIO.
mkuu unamuachaje Kroos anayeongoza kwa assists?Aisee natamani kikosi cha game dhidi ya ATM kule UEFA kikosi kiwe hivi: 1 KIKO ,2 CARVAJAL,3 MARCELO, 4 PEPE/VARANE, 5 RAMOS/NACHO, 6 CASEMIRO, 7 JAMES, 8 MODRIC/ISCO, 9 MORATA, 10 RONALDO, 11 ASENSIO.
Duh, asante kwa kunikumbusha ila yeye itabidi apige 10 then Cr7 atasogea 9 na kumpisha Morata dkk ya 70.mkuu unamuachaje Kroos anayeongoza kwa assists?
Mbinu na akili ya kupenya ukuta Wa mabeki zimeisha! Wameshakua mbwa Mzee, hawawezi kufundishika mbinu mpya za kuwindia!Wangecheza mafaza hapo ni mwendo wa ma cross tu, huwa wananiboa sana, zidane inabidi atafakari na wazee wake hasa hasa BBC.
Kikosi kilikuwa kama kimetiwa mbilimbi vile amsha amsha fransisco khatari sana utadhani mguu una kijiko pana bao moja kaanza kuwapindua pindua kwanza