Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hawa vijana wanajua sana kwa kweli, yaani mpaka unafurahia kuona wanavyocheza, wanacheza kwa ushirikiano sana, mpaka unajiuliza, hao akina BBC hua wanaganyaga nin uwanjan!!
asee skujua kama kuna mechi so nimechil tuu ndani hapa

vijana wana wakilisha ee!?
 
Eeh man, tuna game Leo aisee dhidi ya Deportivo, hata hujachelewa sana kijana, ndio kwanza dakika ya 30.
Vijana wametakata kweli kweli. Wanajituma na wanacheza kwa ushirikiano sana!!
Danilo katoa bonge la pass ya kisigino!! noma sana man
Meanwhile, Morata anakosa goli yeye na golikipa tuu!!
 
he picked at aleast an angry team, kwa sasa anatakiwa awe bold na maamuzi yake , nimependa uthubutu alo ufanya leo.
he must keep on, mi nlichanganyikiwa mpaka nikawa nimesahau mechi
 
Back
Top Bottom