Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

kina ronaldo pale mbele huwa wana baniana sanaa kila mtu anataka kufunga ila madogo wanaonyesha nini maana ya team work
Wanacheza kwa ushirikiano sana kwa manufaa ya timu, lakini mafaza wanawaza front page za Marca kesho yake! Hata wakiwa na nafasi finyu wanabutua tu badala ya kutoa kwa mtu aliye kwenye nafasi!! Ila Benzi kanitoka, akipata clear chance tano anafunga moja, tena kwenye mazingira magumu mno!
 
kina ronaldo pale mbele huwa wana baniana sanaa kila mtu anataka kufunga ila madogo wanaonyesha nini maana ya team work
zidana hana namna ingine ispo kuwa ku stick na hawa madog oat least wana jituma pia hawajachoka sana ni mwisho wa msimu huu ana faa ku take risk na vijana, yaan leo kanifurahisha
 
Back
Top Bottom