dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Barca pia hachukui kombe lolote,au kuna kombe washachukua jamani?Narudia tena real Madrid huchukui kombe lolote msimu huu
Barca pia hachukui kombe lolote,au kuna kombe washachukua jamani?Narudia tena real Madrid huchukui kombe lolote msimu huu
Kwanini Madrid hachukui kombe lolote kisa mnaongoza ligi au?wakuu nikiwapa pole ntakuwa mnafiki maana mimi ndiye niliyewapiga. ila nasikitika kuwambia kuwa msimu huu hambebi kombe lolote [HASHTAG]#hahamadrid[/HASHTAG].
la liga mna mechi tight sana. valencia, celta na sevilla. mba mechi mbili Ramos. UEFA haitabiriki, naona kabisa ATM wakikaza sana.Kwanini Madrid hachukui kombe lolote kisa mnaongoza ligi au?
Is too late man,zipo sababu nyingi Madrid anachukua uefa na la liga
Valencia hana kitu Siku hizi na pia sevilla wamedrop kiwango. Mechi ninayoihofia labda ya malaga.la liga mna mechi tight sana. valencia, celta na sevilla. mba mechi mbili Ramos. UEFA haitabiriki, naona kabisa ATM wakikaza sana.
Timu zilizowafunga msimu huu ni Barca, sevilla na valencia. hizzo ni mechi ngumu kwenu.Valencia hana kitu Siku hizi na pia sevilla wamedrop kiwango. Mechi ninayoihofia labda ya malaga.
Time will tell mkuu.Timu zilizowafunga msimu huu ni Barca, sevilla na valencia. hizzo ni mechi ngumu kwenu.
UEFA tunabeba kwa mara ya pili mfululizo halafu kule LALIGA tena, CR7 Ballon d'or yake.wakuu nikiwapa pole ntakuwa mnafiki maana mimi ndiye niliyewapiga. ila nasikitika kuwambia kuwa msimu huu hambebi kombe lolote [HASHTAG]#hahamadrid[/HASHTAG].
Tuna makombe mawl tunayategemea badoBarca pia hachukui kombe lolote,au kuna kombe washachukua jamani?
jumatano tunacheza na Depotivo pale Estadio Riazor nayo n mechi ngumu![]()
Estadio Riazor ni ngumu kaona, lakini Deportivo wamekaa kwenye reli ya Real Madrid aliyejeruhiwa. Mimi sasa naamini tutashinda every game for the rest of the season. Bao la Jana la dakika ya 92 ni woke up call.