Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
daah!! yaan leo hata mambo yangu sja fanya kwa raha, lakin ndio bas vile mkuu. timu ndogo ztakuwa zshazoeaga kaina at least, hata demand haiwag kubwa ki hivoMkuu kufungwa inauma asikuambia mtu, loo, sijui hawa wenzetu team zao zinavyo fungwa mara kwa mara sijui huwa wanakuaga katika hali gani!! Hapa ninadhan maumivu yataisha tukimaliza game ya Deportivo.
if we dont take la liga ( i hope we will take t) yesterday will be the day la liga got away