Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Nategemea leo hapa katikati kwetu patakuwa na umakini wa hali ya juu na mpira hautakuwa na zile zakukimbiza sanaaa.....kwa sababu kross,modric na isco wapo hapo
 
Baada ya kazi nzuri na umahiri alioonyesha dhidi ya Gijon, Isco amepewa nafasi ya kuanza Leo, hope ataendeleza yale makali alioonyesha kwnye game uliyopita. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]!!

Bale asipoangalia atakaa huko huko bench kama kocha.
 
Nategemea leo hapa katikati kwetu patakuwa na umakini wa hali ya juu na mpira hautakuwa na zile zakukimbiza sanaaa.....kwa sababu kross,modric na isco wapo hapo

Dawa yao ni kuwakaba huko huko kwenye nusu yao.
 
Back
Top Bottom