Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
kaka Isco kafanya mamboLeo mkombozi sijui atakuwa ni nani!! ngoja tuangalie dk zilizobaki.
kaka Isco kafanya mamboLeo mkombozi sijui atakuwa ni nani!! ngoja tuangalie dk zilizobaki.
ki ukweli single handedly ka i pick team ilipo shindwaIt was one man show by Isco
Kikosi chenu kikubwa sana hiyo ni strength moja wapo inayowapa ushindikuna anaye muelwaga bas!! huwa anaamua tu mwenyewe
Duu!!! Ashukuriwe sana Isco, hata hivyo alikuwa kwenye kiwango cha juu kabisa Leo!! huku kwetu umeme ulikatika so dk za mwisho sijaangalia man.kaka Isco kafanya mambo
Kabisa Mkuu, Isco sio wa mchezo mchezo, katia wenzake vyenga vya kutosha!!MOTM: ISCO
yes, depth yetu ni kubwa sanaaKikosi chenu kikubwa sana hiyo ni strength moja wapo inayowapa ushindi
tumejitahidi sna kushinda last minutes msimu huuDuu!!! Ashukuriwe sana Isco, hata hivyo alikuwa kwenye kiwango cha juu kabisa Leo!! huku kwetu umeme ulikatika so dk za mwisho sijaangalia man.
Vijana wanaonyesha wapinzani upande wa pili wa Real Madrid

Sure Mkuu, na hiyo ndio siri ya mafanikio yetu msimu huu, siku hiz kama tukiwa nyuma mpaka dk ya 80, bado hua ninakuwa na matumaini kuwa tutapata goli!!tumejitahidi sna kushinda last minutes msimu huu
![]()
![]()
![]()
![]()
Licha ya kujaza walinzi na viungo,bado wamelia!! japokuwa wametusumbua kidogo, ila sio mbaya, wajaribu tena msimu ujao.Sporting wamepanga 5 defenders na 4 midfielders
Kabisa Mkuu, Isco sio wa mchezo mchezo, katia wenzake vyenga vya kutosha!!
Sure Mkuu, na hiyo ndio siri ya mafanikio yetu msimu huu, siku hiz kama tukiwa nyuma mpaka dk ya 80, bado hua ninakuwa na matumaini kuwa tutapata goli!!
Leo Isco alikuwa ni moto wa kuotea mbali!! kuna muda alisepa na kijiji sema bahati mbaya ile move haikutupatia goli, Bayern wana bahati kijana hakupewa nafasi, sasa wasubirie hiyo J4, awachazeshe disco lake.Isco alikuwa analamba vyenga hadi nyasi. Eti wale jamaa wa upende wa pili ndio wanasema wanasubiri hii summer akiwa free player watamsajiri bure. Kweli kuna watu wanajua kujitekenya.
Kwanza hiyo amsha amsha yake inakuaga sio ya mchezo, huo ndio ule wakati unamkuta Sergio Ramos muda wote yupo kwenye box la wapinzani, Casemiro ndio anarudi nyuma, Hapo utapigwa mpira mpaka mtu aombe maji, na kinachofuatia hapo ni goli!! tukikukosa basi unalala na viatu!!Siku hizi kuwafunga Real Madrid unatakiwa usurubike kwa dakika 90. Waulize Celta Vigo, walitutoa Copa Del Rey lakini habari waliipata, yaani mpira ulivyoisha wachezaji badala ya kushangilia walilala chini