Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Safi sana, sasa hapa hakuna kucheza nao hawa, wanaweza kutuletea shida
sikumoja tutakuja kuotewa halaf hatuta amini.
haitakiwi turuhusu magoli in every match kwa kweli
naona tunafanya kaz ya kukomboa magoli leoKwani na Sevilla ilikuwaje? Wametuotea halafu wakapaki basi mpaka dakika ya 90 tumeumia.
mchukue DaniloNaomba mniuzie Isco Alcaron
Leo mkombozi sijui atakuwa ni nani!! ngoja tuangalie dk zilizobaki.81' 2-2 Another Last minute thriller ? [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
kuna anaye muelwaga bas!! huwa anaamua tu mwenyeweKati ya vitu ambavyo Zidane simuelewi ni kutowapa dakika nyingi za kucheza Isco na Morata