Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #26,881
Pepe fractured his 2 ribs. His season is over. We have only 2 CB's for this month.
Karibu nawewe huwe mmoja wap.HALA MADRIDmambo yenu mazuri sana hii mitaa.
Karibu nawewe huwe mmoja wao.HALA MADRID
Bado haijajulikana Mkuu, tatizo ni kwamba Madrid na Celta wote wapo kwenye michuano ya ulaya, so maendeleo yao huko ndio yatayo ongoza maboss wa la liga kupanga siku ya kupasha hicho kiporo!!Madrid hiyo mechi yenu ya kiporo mtacheza lini?
Safii kabisa Mkuu!! Vp!! Jana hukutokeza upande huu Mkuu, ninahisi ndio maana tulitoka droo!!mambo yenu mazuri sana hii mitaa.
jana nilienda shamba mkuu. furaha yangu ya nyie kusare ilidumu muda mfupi sana.Safii kabisa Mkuu!! Vp!! Jana hukutokeza upande huu Mkuu, ninahisi ndio maana tulitoka droo!!