Avatar yako kama Sizonje na mwana mkuuKaribuni baadae kuona malaga anavyo chinjwa
Hahaaaaaa kama nani mkuu?Avatar yako kama Sizonje na mwana mkuu
BTW nimekaribia
Ilikuwa sio bahati tu Mkuu, team imecheza vizur sana, kasoro tu dk 15 za mwisho!!leo nimeangushwa sana na tactics za zidane na wachezaji kuto jituma kufind second goal
wakat yule black wa Atletco amebadilisha mchezo siye ndio tuka mtoa kroos, ile ilifanya tu rudi deep sanab
ooh my God! am not happy at all
Kuumia kwa Pepe kidogo kumetibua Mipango yetu, sababu imetulazmu kufanya mabadilko ambayo hatukuyatarajia, pili ninadhan na Kroos na yeye alipata knock, Zidane akaamua kumpumzisha, sasa suala la ni nani aingie ndio imeleta shida yote.We failed to score and we fail to hold one goal on with all that possession we had. May be Toni should not have been subed!
Sizonje na mwanaeHahaaaaaa kama nani mkuu?
Kuumia kwa Pepe kidogo kumetibua Mipango yetu, sababu imetulazmu kufanya mabadilko ambayo hatukuyatarajia, pili ninadhan na Kroos na yeye alipata knock, Zidane akaamua kumpumzisha, sasa suala la ni nani aingie ndio imeleta shida yote.
Sio Isco wale Vasquez aliyeleta mabadilko yoyote, ndio kwanza tempo ya game ilishuka na Atletico wakapata nafasi ya kucheza zaidi!!
Kwa upande wangu ningemwingiza Morata badala ya Benzema (Alikosa nafasi 3), na James badala ya Bale ili kuongeza quality kweny idara ya ushambuliaji!!
Sawa mkuu nimekusomaSizonje na mwanae

Kabisa Mkuu, sema jamaa ndio mbishi kweli yaani, siku hiz huwezi kuwakuta wote kweny form, lazima mmoja azingue, Leo ilikuwa ni zamu ya Bale.BBC wamekuwa mizigo siku hizi. Zidane has to drop atleast one of em.
Hilo linajulikana Mkuu, na wenzetu wanaohudhiria uwanjan wameshapiga sana kelele kuhusu hilo, sema ndio hivyo Zidane haelewi!! Bado anamwamin kijana wake.Morata sio mchezaji wa kuwekwa bench na Benzema wa sasa,Morata angekuwa anaanza Benzema awe anaingia sub