Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Perez will meet Pepe's agent this week, a new contract will be on the table for the LEGEND. [Onda Cero]
 
On today's AS front page: "We're ready for Real Madrid", says Bayern Munich's Arjen Robben

C9CB7dpXgAADP3W.jpg
 
According to local press in Turkey, Galatasaray are interested in signing Fabio Coentrao. A loan move is also an option. [AS]

17862017_1558427174182037_8685808410630924234_n.jpg
 
According to as, PSG are prepared to offer Real Madrid €60m for midfielder Marcos Llorente, who is currently on loan at Alaves.

Real Madrid will reject the offer.

17861557_1558440880847333_3481489628093195480_n.jpg
 
Italian referee, Rizzoli, will manage Bayern vs. Real Madrid in the Allianz Arena on Wednesday.

17757186_1558507917507296_7845325065197734985_n.jpg
 
LaSexta: Carvajal has discomfort in his right calf & worked indoors today. He is still expected to be okay to face Bayern. [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG]
Duu!! Mungu asaidie tu kijana arudi mzigoni, la sivyo itakuwa ni shida sana, ila Danilo anaweza kupewa nafasi na akashangaza watu sema ndio hivyo hatuwezi kumwamini kutokana na mwenendo wake!!
 
Perez will meet Pepe's agent this week, a new contract will be on the table for the LEGEND. [Onda Cero]
Ninapenda jinsi Pepe anavyojituma na kupigana vilivyo anapokuwa uwanjani, ila kiukweli kabisa, kidogo jamaa umri umemtupa mkono na bahati mbaya amekuwa akiandamwa na majeruhi mara kwa mara, so amekuwa anatuletea matatizo zaid kuliko faida, kwangu mim angeachwa huru akaondoka itakuwa poa tu, ukizingatia tuna vijana wanachipukia na wao wanahitaji nafasi.
 
serious? unataka pepe aondoke kweli? na kwa jinsi mlivo na tatzo la CB
 
Sijui unazungumzia tatizo la CB katika angle ipi, ila sioni tatizo kama Pepe ataondoka, kwasasa ana miaka 34, na amekuwa akiandwamwa na majeruhi msimu huu muda mwingi, hatujui msimu unaokuja atakuwa katika hali gani, Hapo ukijumlisha na Varane anayekuwaga majeruhi mara kwa mara, tunabaki na Ramos na Nacho tu (Hapo ndipo linapokuja tatizo la CB) kama CB, sasa kwanin tupate shida hivyo wakati tuna vijana wadogo kabisa waliopo kwa mkopo katika team nyingine? Kwanza huko si wanafanya vizur tu wamekuwa ndio tegemeo katika Idara ya ulinzi!!
Tuna Jesus Vallejo ana miaka 20 tu, anacheza kwa mkopo Eintracht Frankfurt, pia tuna Diego Llorente ana miaka 23, yupo Malaga kwa mkopo, ninadhan kuna stats zake zimewekwa huku na Mkuu Salamander, kwenye game dhidi ya Barcelona. So tuna vijana wazuri tu sema hawajapata nafasi, kuna uwezekano mmoja wao atarudi msimu huu unaokuja so utamwona!!
Na aina ya mwisho anaokutana Pepe limekuwa ni jambo la kawaida kwa Real Madrid kuandaa vijana wadogo kuwa mbadala wa wale wakongwe wanaondoka, yametokea kwa akina Hiero, Redondo, Roberto Carlos, Alvaro Albeloa na wengine wengi.
 
pepe ana 34 yrs yess but still a world class, a true fighter and the one who stand up for his team mates all the times.

CB yenu ni ramos, pepe, varane, vallejo, na nacho. (Llorente he is not ready hata kuwa squad player wa madrid) varane ni injury prone na varane huyu sio yule tuliekua tunamjua by the time anakua introduced kwenye timu na mourinho, varane huyu amekua wa kawaida sana even vallejo >>>>him.

mpelekeni nacho acheze pembeni kama 2nd RB au LB itakua ni option nzuri kuliko coentrao na danilo, then taratibu mnaanza kum-introduce vallejo kwenye timu. kumbuka hii ni kama gamble hujui kama akija je atafiti kwenye mfumo au ni second version ya akina arbeloa na illalamend.

vallejo ni miongoni mwa better (not best) young defender kwenye BL, anafaa kua squad player and he is only 20, he had a WC performance vs bayern and Bvb msimu huu but hii sio guarantee ya kwamba ataweza pia kucheza kwa kiwango hicho akiwa Madrid.

am not a Madrid fan but i wish i could have pepe in my team.
 
Ancelotti: "We will decide tomorrow if Lewandowski will play. If he is in pain, we won't risk him"
 
Nimekusoma sana Mkuu, sina doubt na mchango wa Pepe katika kikosi chetu, ni mtu wa kujituma sana sana, na hiyo advise uliyotoa ya kumchezesha Nacho kama RB ama LB ni nzuri pia, sababu Fabio na Danilo wataondoka mwisho wa msimu huu (Sina uhakika sana na Danilo). Sema kuna ugumu sana wa kumbakiza Pepe kikosini, labda Perez na Zidane wabadilishe mawazo, ila kwa umri wake pamoja na majeruhi ukiweka na hilo la Varane kuwa injury prone basi jamaa anaweza kusepa.
Ngoja tusubirie mpaka mwisho wa msimu tuone Zidane na Perez watakuwa na maamuzi gani!!
 
Back
Top Bottom