Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ilikuwa sio bahati tu Mkuu, team imecheza vizur sana, kasoro tu dk 15 za mwisho!!
Oblak ninadhan ndio amebadili matokeo, kafanya vizur sana. Sikupenda hii droo ila ndio ilikuwa destiny yetu .
but si mbaya The Stars seems to be on our side this year
i hope we take la liga kwa kweli
 
but si mbaya The Stars seems to be on our side this year
i hope we take la liga kwa kweli
Kabisa Mkuu!! huu mzigo Safar hii tunasepa nao!! Shukran za kipekee ziwaendee vijana watiifu wa Malaga!! Wabarikiwe sana.
Jana nililala mapema sana kwa huzuni kubwa, huku tumetoka draw, nikaangalia wapinzani wetu wa UCL na wao wakatoa dozi nene kwa Dortmund, basi loo nikalala hoi!! Ila leo asubuhi nimeamka na tabasamu kubwa sanaaa. Kazi kwetu sasa kuhakikisha tunasepa na Kombe letu.
 
Pepe nasikia kavunjika mbavu moja. Kwahiyo na Bayern hakuna Pepe wala Varäne, huu ndio wakati Nacho anatakiwa aisaidie timu. Na itakuwa kwa muda mrefu sana.
Kweli kaka, jamaa atakuwa nje ya uwanja mwezi mzima, ukimtoa na Varane ambaye na yeye ni majeruhi tayar, ina maana Zidane atakuwa anawategemea Nacho na Ramos tu kama centre backs, kazi ipo kweli kweli., Hapo kuna baadhi ya game itabid kijana mmoja acheze, sasa sijui Zidane atamchukua nani pale Castilla.
 
Pepe nasikia kavunjika mbavu moja. Kwahiyo na Bayern hakuna Pepe wala Varäne, huu ndio wakati Nacho anatakiwa aisaidie timu. Na itakuwa kwa muda mrefu sana.
Duh, taarifa mbaya sana hii. Inabidi Nacho,Ramos na Carvajal wacheze kwa nidhamu kubwa mno huku Marcelo akipanda kwa tahadhali.
 
Duh, taarifa mbaya sana hii. Inabidi Nacho,Ramos na Carvajal wacheze kwa nidhamu kubwa mno huku Marcelo akipanda kwa tahadhali.
Mbaya kabisa Mkuu, nilidhan ilikuwa ni jambo dogo sana, ila loo, ndio hivyo jamaa atakuwa nje karibia mwezi mzima.
Ila ninaamin tutavuka huu mwezi salama kabisa, vizingiti vyote tutavivuka. #HalaMadrid¡¡
 
Ila napenda Morata awe anapewa dkk nyingi zaidi ya Benzema na sub ya Bale apewe Asensio badala ya Lucas-kwa baadhi ya mechi kama ya jana .
Kweli Mkuu!! Morata anastahili si kupewa dk nyingi tu za kucheza, anatakiwa awe anaanza, licha ya hizo Dakika chache anazopewa, bado amekuwa active zaid ya Benzema!!
Jana Asensio hakuwa hata kwenye bench, mtu sahihi wa kuingia pale alikuwa James, sababu tayar tulishafail mipira ya pembeni, yule angeingia ili atangeneze angalau penetration pass, ila jamaa kama kawaida yake akamwingiza Vasquez ambaye hakufurukuta kabisa.
 
Kweli kaka, jamaa atakuwa nje ya uwanja mwezi mzima, ukimtoa na Varane ambaye na yeye ni majeruhi tayar, ina maana Zidane atakuwa anawategemea Nacho na Ramos tu kama centre backs, kazi ipo kweli kweli., Hapo kuna baadhi ya game itabid kijana mmoja acheze, sasa sijui Zidane atamchukua nani pale Castilla.

Duh, taarifa mbaya sana hii. Inabidi Nacho,Ramos na Carvajal wacheze kwa nidhamu kubwa mno huku Marcelo akipanda kwa tahadhali.

Breaking news ni kwamba Pepe atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili au zaidi. Varäne yeye ndio tutamkosa kwa mwezi mmoja. Habari mbaya zaidi ni kwamba, Nacho na Ramos ni one yellow card away from suspension. Sasa hii beki yetu Zizou ataipangaje!
 
Mmh!! Hili limeshakuwa tatizo sasa, hapo itabid vijana wa Castilla waje kutusaidia, hakuna namna nyingine, bahati mbaya kila game ni muhimu, na uwezekano wa akina Ramos kutoka uwanjani bila card ni mdogo sana!!
 
Was a Beast Yesterday! Wish this is point where he gets his form back; no turning back now!

C85zmENXUAQtZvm.jpg
 
Back
Top Bottom