Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #26,301
Eibar pull one back,1-4
Na ni hapo hapo wamepatia hapo goli!! ajabu sanaLeon slapped Nacho in the face, should have been called a foul but you know it's [HASHTAG]#LaLiga[/HASHTAG].
Marcelo & James
![]()
Hili kombe tukilikosa nitahuzunika sana. Yaani timu inacheza blunders baadhi ya game muhimu kabisa. Ilipaswa mpaka sasa tuwe na gape ya 6-8 points ila sasa imekuwa tia maji tia maji kuombeana kupoteza.Safi vijana hali ilikuwa tete tuendelee kupambana
Ile game na Las Palmas ndio iliniuma zaidi, wale walitukomalia kwao tukatoa draw, hii juz tulianza vibaya sana kipnd cha kwanza, wakati ninajipa moyo kuwa kipnd cha pili tutarudi vizur, ghafla Bale akazingua, nilihisi kama ametumwa kutuharibia!! Kama ilikuwa ni bongo si ajabu jamaa asingekaa acheze tena.Hili kombe tukilikosa nitahuzunika sana. Yaani timu inacheza blunders baadhi ya game muhimu kabisa. Ilipaswa mpaka sasa tuwe na gape ya 6-8 points ila sasa imekuwa tia maji tia maji kuombeana kupoteza.
baada ya mechi ya Athletic mnaweza pewa kiporo cha celta mle.Upcoming Fixtures
UCL 07-03-2017
Napoli vs Real Madrid
SLL 12-03-2017
Real Madrid vs Real Betis
SLL 18-03-2017
Athletic Club vs Real Madrid
SLL 02-04-2017
Real Madrid vs Alaves
SLL 05-04-2017
Leganes vs Real Madrid
SLL 09-04-2017
Real Madrid vs Atletico Madrid
SLL 16-04-2017
Sporting Gijon vs Real Madrid
SLL 23-04-2017
Real Madrid vs Barcelona
SLL 26-04-2017
Deportivo La Coruna vs Real Madrid
SLL 30-04-2017
Real Madrid vs Valencia
SLL 07-05-2017
Granada vs Real Madrid
SLL 14-05-2017
Real Madrid vs Sevilla
SLL 21-05-2017
Malaga vs Real Madrid