Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Hapo bado mshikaji wangu Mariano hajaingia, ninaona wanajaribu kujitutumua ila Leo wanalo. Wakicheza Leo wanakaa Week.Leo naona vijana wame amua
Hapo bado mshikaji wangu Mariano hajaingia, ninaona wanajaribu kujitutumua ila Leo wanalo. Wakicheza Leo wanakaa Week.Leo naona vijana wame amua
Huyo Mariano ndo anakuwaga na uchu akiwa pale mbele,tuxbr vitu zaidi second half xo far well played.Hapo bado mshikaji wangu Mariano hajaingia, ninaona wanajaribu kujitutumua ila Leo wanalo. Wakicheza Leo wanakaa Week.
HahahaHapo bado mshikaji wangu Mariano hajaingia, ninaona wanajaribu kujitutumua ila Leo wanalo. Wakicheza Leo wanakaa Week.
Hilo nimemsamehe kwasababu hajacheza siku nyingi sana, so si ajabu bado anatetemeka, ila ninajua kuna goli lake kipnd cha pili.Hahaha
Hata dogo Asensio nime mwona japo kuna sehem kazingua goli
Nilikuwa na wasi wasi sana kutokana na usumbufu kwnye game ya kwanza, lakini Leo tualipa ule usumbuf wao.Umesahau last game Bernabéu?
Hahaha
Hata dogo Asensio nime mwona japo kuna sehem kazingua goli
Nilikuwa na wasi wasi sana kutokana na usumbufu kwnye game ya kwanza, lakini Leo tualipa ule usumbuf wao.
Ki ukweli mimi huwa nawish Asensio awe anapata time sana, kama leo unamuona ana jiconnect vzuri halafu anapenda kujaribu atakuja kuwa ana funga magoli mazuri sana huyu.Lakini Asensio na James wana great link up, Sometimes nafikiria life's tough to be a Real Madrid's player, yaani hii talent ingekuwa timu nyingine, ndio ingekuwa starting combo for sure.