Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,892
- 8,971
ila kiukweli first half madrid tumecheza hovyo kabisaa😡😡😡😡😡😡😡😡
Leo naangalia ya Arsenal
Salamander endelea kutujuza hapa
Hutajawahi shnda ugenini kwa mwaka EUFA ya mwaka huu so stegemei lolote na leo
I hope tuta watoaNapoli wanaongoza bao moja. Halafu leo game yao imekaa sawa kinoma, lakini usiogope tutawatoa tu hawa.
Kabisa Mkuu, muhimu hapa ni angalau kuwa clinical mbele ya goli, tukipata goli moja tu tutawatoa kweny reli,then tunatake control.ila kiukweli first half madrid tumecheza hovyo kabisaa😡😡😡😡😡😡😡😡
Na hii huwa ni kitu inayo jirudi dailyHawa Napoli wametukomalia kweli, ninaona mbinu yao ya kutukabia juu inafanya kazi, ishu hapa ni moja tu sasa, Zidane itabid awatoe mmoja wa BBC, amwingize Isco ili kuiwezesha team ikae na mpira zaid!!
Game kama hiz hua zinatuwia ngum sababu Casemiro hawez kukaa na mpira, ukichangya na hawa ndg zetu wa BBC kuwa sio watu wa kukaba, basi akina Modric na Kroos wanapata shida sana.
So sub ya Isco itakuwa ya maana kweli kweli!!
GudiSergio Ramos![]()