Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
If Zidane keeps picking Benzema ahead of Morata, and keeps freezing Isco after tonight, then he'll have to go.
Bosi nilikuwa little disappiinted nikahisi bas gem kwishnei.Mkuu umeniangusha sana, unatakiwa upambane mpaka mwisho, licha ya kuumwa, ila nimehimili kuangalia dk zote 90 bila hata kusinzia!!
Get Morata a french passport so that Zidane might start him in the next match.
Yeahmadogo waliposhinda mbili walijua ngoma imeisha. wakaanza kupoteza wakati dk ya 65! si ukichaa! naona leo utalala fresh. huku kombe huku point 3 muhimu.
Hawa watu wawili huwa wanaambukizana uvivu wakianza, japokuwa Morata ana afadhali kidogo kuliko Benzema. Wote wawili wamekosa goli la wazi ndani ya 18.Get Morata a french passport so that Zidane might start him in the next match.
HahahaIf Zidane keeps picking Benzema ahead of Morata, and keeps freezing Isco after tonight, then he'll have to go.
Kawaida yake huyo, walishaanza kushangilia ndio maana unaona wanaanza kuleta maneno, mpaka hapa kuna makala nyingi sana zimeharibiwa na ushindi!! na mwendo wetu ni huu huu mpaka mwisho wa ligi.Pique start whining on Twitter as usual.
Hahaha
Yaan BBC ilionekana kabisa ina kosa ka link flan hivi
Hope Morata will help more
HahahaWe ngoja tu, huyu Zidane anaanza kusahau pale hatulei upuuzi. Tutamtimua asiamini.