Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Daaah
Hii mechi Kama sielewi elewi yaan
Tumeshikwa kiungo cha kati kweli kweli!! hii game alitakiwa aanze Kovacic sababu kidogo anaweza kukaa na mpira na kufungua mmoja wawili!! sasa kwa Leo anayeweza kukaa na mpira ni Modric peke yake, Bale bado hayupo kwenye kiwango chake, so hata mipira ikienda mbele haikai. Tupo kwenye wakati mgumu kweli kweli.
Hapo Zizou asicheke na mtu kabisa, kama kuna mtu anaona hayupo poa amtoe tu. Heri lawama kuliko fedheha
 
Tulieni mfundishwe mpira na viungo machachari Bruno soriano na Trigueros

Sansone ndiye atakayewafunga nyie subiri afanyiwe sub

Victor Ruiz&Mussachio ukuta upo salama
 
sijaona muda mrefu mkiwa mmeshikwa hivi. sema hawa madogo striker wao tegemezi ni majeruhi. mnaweza shinda sababu BBC inahitaji chances chache tu kupata goli.

Tumeshikwa kiungo cha kati kweli kweli!! hii game alitakiwa aanze Kovacic sababu kidogo anaweza kukaa na mpira na kufungua mmoja wawili!! sasa kwa Leo anayeweza kukaa na mpira ni Modric peke yake, Bale bado hayupo kwenye kiwango chake, so hata mipira ikienda mbele haikai. Tupo kwenye wakati mgumu kweli kweli.
Hapo Zizou asicheke na mtu kabisa, kama kuna mtu anaona hayupo poa amtoe tu. Heri lawama kuliko fedheha
Ki ukweli naona kule kwenye BBC hawafanyi kazi yao, wako diaconnected hii ina wapa kazi kina Modric kwani wanafanya run ups mpaka zisizo na ulazoma wafanye wao.
May be kweli kova ana hitajika ila nadhan ike disorganization iliyo kule kwa kina BBC nayo inaleta tabu tupu, anatakiwa atoje mmoha mbele ili aingie mtu wa ku crate mashambulizi at keast tutegemee watu wa wili tu.
 
Hii mechi ili tu-comeback lazima Morata na James wawe ndani na players waondoe high temper waliyonayo.
 
Back
Top Bottom