Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
He is good to be included in the squad.⚽AUGUSTO GALVÁN ⚽Skills and ⚽goals
Zidane atoa ya moyoni ambayo hata mm nilikuwa nayo kitambo
Akifanya conference na wana habari anasema "huwa naangalia mechi za wapinzani lkn wanapocheza dhidi yetu mambo huwa si sawa"
Ki ukweli timu za la liga haswa zile timu ngumu ngumu km celta,Seville,v.real,valencia n.k wanapocheza na Madrid wanakuwa tafu na wanakamia mara mbili zaidi wanavyocheza na na timu zingine
Kwahiyo match zingine huwa wana nunuliwa? Acheni kulia lia nyieZidane atoa ya moyoni ambayo hata mm nilikuwa nayo kitambo
Akifanya conference na wana habari anasema "huwa naangalia mechi za wapinzani lkn wanapocheza dhidi yetu mambo huwa si sawa"
Ki ukweli timu za la liga haswa zile timu ngumu ngumu km celta,Seville,v.real,valencia n.k wanapocheza na Madrid wanakuwa tafu na wanakamia mara mbili zaidi wanavyocheza na na timu zingine
All the best man
All the best man