pole sana mkuu. sahau hayo twende tukawacheki SevillaKwa namna zwazwa alivyokuwa anamfanyia verani naanza kumkumbuka Pepe.
Mkuu kumbe hata ulaya viporo vinachacha....? Hakika zizzou atajilaum kama akipoteza mbele ya mnyambizi...naiona El classico iki amua bingwa... Polen sana fans wa madridKiporo cha kwanza kimechacha
next match sunday vs Atletico madridNasikia next match sunday na Villareal