Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

9cz6X7rMi.jpg
Hahahaa
Hebu tulia kwanza hawa jamaa wamenichanganya hapa
 
Mchaka mchaka wa kipnd cha pili utakuwa wa hatari sana, muhimu tu utulivu mbele ya goli, Hakuna haja ya Sub sasa hiv, team inacheza vizur, na kila mmoja anawatimiza wajibu wake vizur tu!! !VamosReal¡¡
 
Hawa jamaa wametuwahi tuu
Sjui kwa nini sjui
But kodogo kuna ahueni tulivo rudsha moja
 
The second half has started at Mestalla. ¡HASTA EL FINAL, VAMOS REAL!
 
Back
Top Bottom