Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #25,741
Full Time: Real Madrid 3-1 Napoli (Benzema 18', Toni Kroos 49', Casemiro 54'; Insigne 8'). [HASHTAG]#RMUCL[/HASHTAG] [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Sisi ndio wakali wenyew wa kuvunja miiko, tulitakiwa tuwapige mkono Leo, tumalizinane nao kabisa.Real Madrid end Napoli's 18 consecutive wins run. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Usiwe na shaka kabisa hawa tunapiga nje ndani.Sio matokeo mbaya sana kwetu, wanaweza kutufunga hizo goli mbili, lakini je? wanaweza kutuzuia tusiwafunge? tusubir marudiano week mbili zijazo!!.
killjoy: goli la ugenini litafanya iwe simple kwa Napoli kupindua matokeo. na wameonyesha kuwa ni wapambanaji.
matokeo yangekuwa 2-1 sawa, ila 3-1 matumaini bado yapo sana tu.I know it is very hard for you, lakini tunakushukuru sana kwa kukesha kusubiri matokeo.
CR7 jana kapambana sana ila lile goli casemiro hakuwa na nia njema na reina mpango ulikuwa fuata uchomoke mbavu.matokeo yangekuwa 2-1 sawa, ila 3-1 matumaini bado yapo sana tu.
Haya magoli huwa yananikumbusha Paul Scholes katika ubora wake.Ronaldo with great effort got rid of the defender on the line then set Kroos whose shot scored Real Madrid 2nd goal tonight
C7 anajitahidi sana.R7 jana kapambana sana ila lile goli casemiro hakuwa na nia njema na reina mpango ulikuwa fuata uchomoke mbavu.
C7 anajitahidi sana.
This is Real Madrid,sio Mbao Fc. Bora ungesema linawapa matumaini lakini sio kusema inakua "simple" kupindua matokea.killjoy: goli la ugenini litafanya iwe simple kwa Napoli kupindua matokeo. na wameonyesha kuwa ni wapambanaji.
Jamaa kaniacha hoi kweli, badala ya kufikiria kuwa watapindua vp matokeo ya kichapo cha mbwa koko walichopewa na PSG, anahangaika na sisi tulioshinda?This is Real Madrid,sio Mbao Fc. Bora ungesema linawapa matumaini lakini sio kusema inakua "simple" kupindua matokea.
Hahahaha,huyu jamaa hamnazo... Kachanganyikiwa na 4GJamaa kaniacha hoi kweli, badala ya kufikiria kuwa watapindua vp matokeo ya kichapo cha mbwa koko walichopewa na PSG, anahangaika na sisi tulioshinda?
Au atamani tuzame wote?