Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,368
Leo wale ndg zetu ninaona wapo active kimtindo, sio mbaya, japokuwa Benzema hayupo makini mbele ya goli, ila nimependa team inavyojituma kutafuta ushindi.
Half time Mkuu, Real Madrid 1:1 Napoliwekeni updates humu waungwana
Navas amefufua tena kuhusu usajili wa akina De Gea, tukitolewa na Napoli mbuzi wa kafara atakuwa ni Navas, so sad kuona amefungwa goli la kizembe vile .
Tumefungwa goli la kizembe sana kwa kweli!! Sijui Navas alijisahau vp pale. Ila ndio matokeo sio, ngoja tusubir kipind cha piliYaani hatuwezi kabisa kulinda goli. Hawa ilikuwa wale 2-0 tunaenda kwao tunapiga tena 2-1 kisha tunasubiri the next move.

Casemirooooo[/QUOTE Thats Great...