Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #24,641
Pepe wants a 2 yr extension while Real Madrid are offering 1 yr extension + 1 yr depending on the number of matches played this season [AS]
Panyalona mmebaki na stress na akili za kunguru tu.![]()
Madrififa na mwanitesa yunaited dawa yenu ni moja tu
We mbweha usituletee uchuro hapa.![]()
Msako wa nyani, Ngedere haponi
Watakua wameona ugumu uliopo kupindua matokeo, japokuwa inawezakana pia. Muhimu ni kupambana ili tuendleze record yetu.Mariano, N'Zonzi and Franco Vázquez are excluded from Sevilla's squad against Real. It seems Sevilla are more serious about la liga game.
Huo mwaka mmoja unamtosha, kwanza hata msimu huu amekuwa hachezi kwa majeraha kwa muda sasa, anajitoa sana akiwa uwanjan,ila ukweli ni kwamba umri umeenda.Pepe wants a 2 yr extension while Real Madrid are offering 1 yr extension + 1 yr depending on the number of matches played this season [AS]
![]()
Huo mwaka mmoja unamtosha, kwanza hata msimu huu amekuwa hachezi kwa majeraha kwa muda sasa, anajitoa sana akiwa uwanjan,ila ukweli ni kwamba umri umeenda.
Si ajabu jamaa bado ana malengo ya kuvaa uzi mweupe kwa misimu mingine kadhaa, ingekuwa poa sana kama angeenda kupiga pesa za Wachina.Mi ningekuwa ndio Pepe, ningeenda kuchukua hela za wachina tu misimu mitatu biashara iishe.
Itafahamika tuWe mbweha usituletee uchuro hapa.