Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

La Liga Table after tonight's Matches:

CveuPToWgAAkU93.jpg:large
 
Seriously can't celebrate this victory. Unreal poor performance. Morata saved us once again. Makes you wonder why is he not starting games?
 
More incomplete pass, very sad to Madrid standards.
Mkuu, hii team bado kabisa, kama Zidane hana plan B hiv, sababu ni Modric na Casemiro tu hawapo ila team inacheza ajabu hivyo, mfuko umekuwa ule ule ni lazima mipira ipitie pembeni, wakati tuna mafundi wa penetration pass hapo, pia Bale anaweza kucheza nyuma ya washambuliaji, ila jamaa amekariri mipinga kupitia pembeni tu!!
 
Bora angetoa pasi tu. Kroos na Morata walikuwa kwenye open net position.
Yeye alikuwa anafikiria kufunga tu bila kuzingatia sehemu aliyokuwa!! Anaonyesha bado hajiamin, akiendelea kucheza akifikiria media atapata sana shida, akichukulia poa atarudi kwenye makali yake!!
 
Mkuu, hii team bado kabisa, kama Zidane hana plan B hiv, sababu ni Modric na Casemiro tu hawapo ila team inacheza ajabu hivyo, mfuko umekuwa ule ule ni lazima mipira ipitie pembeni, wakati tuna mafundi wa penetration pass hapo, pia Bale anaweza kucheza nyuma ya washambuliaji, ila jamaa amekariri mipinga kupitia pembeni tu!!

Ronaldo leo kaua timu, kaharibu pasi mwanzo mwisho. Bale umaliziaji wake hakuna umakini, na huyu Benzema asaidii kucheza na timu anasubiri mipira ije tu, na ikipotea kamaliza anasubiri tena.

Penetration Icso na Kovacic wamejaribu sana sema hawa wazee wetu niliowataja hapo juu ndio lilikuwa tatizo kubwa.
 
Yeye alikuwa anafikiria kufunga tu bila kuzingatia sehemu aliyokuwa!! Anaonyesha bado hajiamin, akiendelea kucheza akifikiria media atapata sana shida, akichukulia poa atarudi kwenye makali yake!!

Hakuna kitu kinaniuma kama mchezaji kuwa untouchable. Yeye ndio alitakiwa aende bench kabla ya Isco, sema angetolewa ingekuwa drama mpaka basi. Lakini poa, yote yana mwisho tu haya!
 
Ronaldo leo kaua timu, kaharibu pasi mwanzo mwisho. Bale umaliziaji wake hakuna umakini, na huyu Benzema asaidii kucheza na timu anasubiri mipira ije tu, na ikipotea kamaliza anasubiri tena.

Penetration Icso na Kovacic wamejaribu sana sema hawa wazee wetu niliowataja hapo juu ndio lilikuwa tatizo kubwa.
Hiv ni kweli Zidane haoini hawa BBC wanachofanya huku uwanjan? na kama anawaona mbona hachukui hatua yeyote? au anawaogopa?
Bale amekuwa anajiligia mipira tu bila umakini wowote,Karim siku hiz anacheza kifaza tu,Ronaldo ndio usiseme, jamaa sijui anatetemeka miguu,!! Hawa watu wapo wapo tu yaani!!
Kovacic na yeye ameniudhi kutokwenda kuwasaidia mabeki zetu wakati wanahangaika kutoa ule mpira uliozaa goli la kusawazisha, alikuwa karbu na box letu anawaangalia tu!! Kweli Casemiro tunamhitaji sana!!
 
Hakuna kitu kinaniuma kama mchezaji kuwa untouchable. Yeye ndio alitakiwa aende bench kabla ya Isco, sema angetolewa ingekuwa drama mpaka basi. Lakini poa, yote yana mwisho tu haya!
Kweli Mkuu, yana mwisho haya, muda mwingine unaweza kuomba mtu apate majeruhi ili wengine wacheze, ila kufanya hivyo ni kuumiza team, waache waendelee kuruka ruka ikifika wakati watakaa bench tu!!
 
Mkuu, hii team bado kabisa, kama Zidane hana plan B hiv, sababu ni Modric na Casemiro tu hawapo ila team inacheza ajabu hivyo, mfuko umekuwa ule ule ni lazima mipira ipitie pembeni, wakati tuna mafundi wa penetration pass hapo, pia Bale anaweza kucheza nyuma ya washambuliaji, ila jamaa amekariri mipinga kupitia pembeni tu!!
Kweli..tuna master wa pass kama Kroos bado Zizou analazimisha mambo ya winga tu.
 
Nimetazama mechi.tumeshinda ila timu ilikuwa ime-flop sana japo Vijana walioingia mwishoni wameleta amsha amsha.
 
Hahaha, mwenyew nimeshashtuka man, hawa wajamaa wanabet!! haiwezekani akafanya uzembe kama kule!! Ashukuriwe Mungu golini alikuwepo Navas, angekuwepo yule rafiki yako tungelia man!!
Hahahahhahahahahhahahah...angekuwepo yule kiko aisee ile ni nyavu bila shuruti
 
Ronaldo kacheza mpira kwa kujituma sana sio wa kwanza kukosa goli, ila wengi tunawajua ni haters, mlimchukia Ronaldo tangu yuko kwenye form misimu iliyopita(Roho mbaya) mtaacha kupata sababu ya kumsema hivi this time he goes through the tunnel?

Huyo Messi last year was a floppy but hukuona mshabiki wa Barka akimponda ila humu kuna watu mnataka mjikute kama Real inatakiwa wacheze malaika tu hata timu yenu hamjiamini kuisapoti

Nani hajui mchango wa huyu jamaa last season mpaka tunacheza final ya uefaa yeye na Bale, Leo mtu anawaza Asensio amuweke bench Ronaldo hizi drama za wiki mbili tatu zisiwapumbaze mkakosa hata busara ndogo mliyobaki nayo

Nough said!
 
Back
Top Bottom