Jamaa amekuwa kimeo si kawaida, hata yeye na golikipa anakosa? si maajabu hayo!!Huyu ronaldo miguu imeshaanza kutofautina na akili....
Hajaisha bali panic inamsumbua..Cr7 kaisha jamani khaa
Ana papara sana.. Naamini gamea zijazo atatulia tu.Hahahhahahhahaha...ronaldo mwenyewe moyon anajua kabisa kaisha kimtindo....akili na miguu vimeanza kuwa maadui...umri sijui au ni nn