Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #21,661
Nacho with a "Marcelo-esque" penetration. Asenso with the rebound from a header to score Real Madrid 1st goal tonight
Hii timu ya manispaa siyo yakubeza hii....inatakiwa tupige kama hatujawah cheza nayo kabla yaan kama hatuijui
Goaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaal Asensio
We acha umbea..wanagonga vzur tatzo umaliziaj wao mbovu

pia wanapwaya nyuma. mpaka sasa wamefungwa goli 10 wakifunga 13 ambazo siyo chache maana RM wana 15.wanagonga vzur tatzo umaliziaj wao mbovu
Halafu timu inaonekana haipo serious kabisa...yaan tukiporwa mpira tunatembea jamaa wanatengeneza nafasi
Jamaa wana watu 4 kati kati, sisi yupo Modric na Kroos tu, Asensio kama anafikiria ku attack zaidi. So kidogo tunapata shida tu hapo, anaweza akatoka Bale akaingia Isco ama James, sababu Bale ni kama amewatenga wenzie!!Udhaifu ninauona hapa ni kuwa tunawapa nafasi kubwa sana hawa jamaa....yaan angalia distance ya mtu na mtu wao wakiwa na mpira halafu uangalie na sisi utaona kuna gap kubwa sana...yaan tunakuwa tunakabana wenyewe kwa wenyewe
Kukosekana umekani pale nyuma utaigharimu timu Leo maana tunawaruhusu sana wachezee mpira hawa las palmas,kocha awafokee wasifanye mzaha tutaweza aibishwa ,tuko nguvu sawa ila vijana wamepiga kazi,tunammiss sana casemiro pale kwny idara ya kiungo mkabaji ndo maana wanapenetrate mipira ming yenye madhara kwnda golini,tusubiri second half muhimu point 3 ndo kila kitu.Varane's wrong timing to clear the ball gave Tana too much space to find the bottom corner. We have finally conceded an away goal in La Liga since 23rd April
Ngoja tuone mkuu....Man, we can't keep possession at all. Yaani wakichukua mpira wanataka kuwahi golini wakafunge, hakuna ile build up tulioizoea. Hawa jamaa wako kwao, tusipoangalia tunaacha points hapa. Ngoja Zizou aonngee na watu wake.
Bale Leo anazingua, nguvu za nin, kwanin asitumie tu akili kidogo, hii game ni tight sana kwa kwel.