Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #20,381
FULL TIME: Real Madrid 3-2 @Sevilla (Aarco Asensio 21', SergioRamos 90'+3, Dani Carvajal119'; Vázquez 41', Konoplyanka 72' (p)
Hahaha, Dani kafanya makubwa!! walikataa goli la Ramos sasa Dani kawanyoooshaWhat Carvajal did shouldn't be legal...
Lile goli sijajua kwanini wamelikataaHahaha, Dani kafanya makubwa!! walikataa goli la Ramos sasa Dani kawanyooosha
Zidane kashindwa hata kushangilia.....yaani Dani kapora mpira kasepa nao wanamkombiza beki kadhaa kapinda kona kipa katoka akaachia dochi kamba......Hatari Sana huyu MTU.......beki mbili bora kuliko wote duniani
Wapo wengi tu walikua wanasubiria tufungwe waje, wameishia kuchungulia!! Weka mbali na watoto!!Asante kwa kufuatilia mechi. Anaitwa Captain Sergio Ramos
Refa aliona makengeza tu Mkuu, anadai Ramos alimshika jamaa kabla ya kupiga kichwa!!Lile goli sijajua kwanini wamelikataa