Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bale, ronaldo & benzema hawapo still james kaanzia benchi? Whats wrong with this man?


Kwanini swala la James watu mnalichukulia personal sana? He's a player like others, sasa niambie nani hakustaili kucheza, mbona wengine wako kwenye bench kule hawatajwi majina?
 
Youngest scorers in RM's European finals:

20 years 201 days ASENSIO

22-046 Míchel
22-332 Raúl
23-221 Gento
24-049 Morientes

[@2010MisterChip]
 
Top left corner...WHAT A STRIKE.

Asensio is now the youngest player to score in European final in Real Madrid's history.

13876539_1283836198307804_1680500614808719580_n.jpg
 
So far vijana wanajitahid sio mbaya!! hope tutaona mabadiliko kipind cha pili


Youngsters walikuwa confident and energetic. Goli walilofungwa halikuwa la proper chance, wamejaribu kufunga kutoka position tofauti lakini haikuwa zali, lakini ni good goal overall. Expecting a better second half too.
 
Konoplayanka comes ON for Sevilla. This guy Konoplayanka is something else.
 
KONOPLAYANKA HAS SCORED FOR SEVILLA.

Sevilla 2-1 Real Madrid
 
Something special is needed to win the SUPER CUP now.
 
Last 5 minutes to be played. I'm fuckin' dead now. Sevilla wakiguswa tu wameanguka.
 
Back
Top Bottom