Read Please!!!!!

Ngoja niangalia uwezekano wa kulegeza masharti LOL

unajua ki ukweli kuna vitu vingine unaniminyia/katazia mie nakacrka mpaka bac....hapo nikikuambia ishu kama hii ya safari loo cpati pic, najua huwezi kubali milele...kweli nakacrikaga bac tu cna cha kufanya.
 
Ukikacrika ndo raha yangu iyo, tunaenda kumalizia kec chumbani! lol lakini kwa hili la mpwa G nitakupa ruhusa ee mama..si tutaenda wote:p
 
Ukikacrika ndo raha yangu iyo, tunaenda kumalizia kec chumbani! lol lakini kwa hili la mpwa G nitakupa ruhusa ee mama..si tutaenda wote:p

natamani haya maneno ungekuwa unayatimiza/yatekeleza...mie yani celewagi kabisa jamani.
 
Subilini JS watu ndo kwanza tunatoka chimbo mahang over ya kufa mtu
 
BIHECHITII najua mwaka huu hatuumalizi lazima wakuchukue jumla jumla,
sasa usiponichangia...........!hahahaha.UNATENGANISHA UKOO

Geoff yangu siombi mchango ila ntaweka kiwango kwa kila mpwa itakuwa lazima kulingana na kipato na najua utachangia tu huwezi kuvunja ukoo!!!

BIHECHITII = BHT mwee mwaka huu Goeff wangu!!! ila bora hapo maana siku ile uliua bendi ukauza mpaka na eksitensheni lol!!
 
HEHEHE!
LAZIMA tule pilau mwaka huu!...........
 
bht, please can u organize all ladies around here? I will organize the other side and then we have to meet to deliberate on this IMPORTANT issue!

sawa B? mambo lakini?

hamana shaka am ze wedn planner by profesheni hahaaa!!

mambo yangu poa tu B!! umwachie Nyamayao aje kwenye shughuli tafadhali vinginevyo najitoa!!!
 
mpwazzz toa akaunti namba kusimplifai mambo haswa kwa wapwazzzz wa mikoani.​

na wa nje ya nchi je maana nataka nimtumie faranga 50 ila naona kama ghara ya kutuma itakuwa kubwa. pia naomba mbadili kicha cha mada hii kiwe mchango wa harusi (JOKE)​
 
Eti ni mdogo kutokana na amount ambayo hao wanakamati wanakuwa wameshapanga. lakini most harusiz minimum ni 50k. less than that mmh mmh haungii

Mhh sio mchezo bongo siku hizi imefikia mpaka hiyo tabia ya kupanga kiasi fulani??ina maana wote ambao wanakuja kwenye hizo harusi wana hela za kutosha??Maana kuna wengine uwezo wao ni finyu sana hawana hizo hela sasa kama hiyo hela sina au ninayo na ya malengo si bora hiyo siku moja nilale tu nyumbani??
 
halafu na wewe naona umekaa kimya tu!
mimi wapwaaz mkunitosa sitawaelewa unajua?!...naona kimyaaaaaaa wakati unaona zimebaki siku 39
worry not binamu, hapa hachomoki mtu. kama unaona aibu kudai niajiri mimi nideal na wapwa wote, lazima tukupe shavu.
 
hahahaha!
naona wapwaaz weeengi sasa hivi wanaingia kama guests wanaogopa mchango!hahahahahahah

wapi x-pin
wapi nguli
wapi fidel80

hahahaha!mtaniua kwa kucheka
simu zenu ninazo
I WILL CALL YOU GUYS

Hahaha! Kuanzia tarehe 31/01/2010 Namba zangu nabadilisha! Kuingia mfukoni unafikiri kitu rahisi?
 
ni swala la muda tu!
let's take ningekuwa sijaonana na dada ake x-pin halafu nkakuona wewe mimi ningekuchukua jumla jumla(ningekuwowa)

...subiri nitakapoanza projekti ya second waifu!nikikuta uko free free NAMALIZANA NA WEWE!....(utani bwana)

Halafu aliyekudanganya kuwa JS si dada yangu pia ni nani? Hahaha! Mpwaz for washikiz!
 
Yani unaikana hivi hivi mbele ya kadamnasi Crispin sawa utaona!!!!

Sijakukana! Hebu nambie neshno fom foo B egzamz somo la kiswahili ulipata alama gani? Kama ni zaidi ya D, basi rudi ukaisome vizuri ile posti yangu! Sijakukana mdada! We ni mdada wangu dam dam!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom