Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

Read between the lines; single lady 30's inakuhusu

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
174
Wana JF hili jambo ni kweli?

Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzima kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu kinoma. Mara nataka mwanaume Handsome, mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au anabiashara.

Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je, wewe ni mcha Mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumbani?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumbani na huna mume wala mchumba inabidi ujiulize mara mbili ulikosea nini huko nyuma kwasababu kupata mume umri huo kwa sasa ni Bahati, wengine kabisa wanakataa wachumba wakiwa kwenye early 20's wakijua watakuwa vijana Forever.

Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake eti nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu wewe umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mimi nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

Credit/ udaku spesheli
 
Sio kila Mtu Anapenda kufikia umri huo akiwa single. Na sio kila anayefikia umri huo bila ndoa, alikuwa anachagua wanaume. Na sidhani Kama ukifikisha 30s au ukizalia nyumbani, basi ndo usiwe na mwanaume unayewish Kuwa naye, kwa hiyo Mtu ajillazimishe tu kuolewa na yeyote kwa sababu she is in her 30s? Wapo wanaume wanaooa wadada wenye watoto na wenye 30s na ndoa zao zina baraka mno. Ni kumpata Mtu sahihi tu kwako
 
Kwani wakifuniliwa na hawasikii huo utamu ?
au ndio kutafuta huruma yetu tu
 
Sio kila Mtu Anapenda kufikia umri huo akiwa single. Na sio kila anayefikia umri huo bila ndoa, alikuwa anachagua wanaume. Na sidhani Kama ukifikisha 30s au ukizalia nyumbani, basi ndo usiwe na mwanaume unayewish Kuwa naye, kwa hiyo Mtu ajillazimishe tu kuolewa na yeyote kwa sababu she is in her 30s? Wapo wanaume wanaooa wadada wenye watoto na wenye 30s na ndoa zao zina baraka mno. Ni kumpata Mtu sahihi tu kwa kwako

Absolutely.......Very good....arguement!
 
Sio 30's tu,hata kuwa late 40's bado sio sababu ya kuolewa na yeyote anayekuja mbele yako na ku propose ndoa.
Thamani ya mtu haishushwi na umri,usiolewe kisa umri unaelekea alasiri ukaishia kuishi maisha ya majuto.
 
ki ukweli sijasoma hadi mwisho ila nachowaza ni kimoja


SIKU KILA MTU ATAKUWA ANAMIND SHUGHULI ZAKE HUMU DUNIANI DUNIA ITAKUA SEHEMU NZURI SANA YA KUISHI

Sasa unawezaje kumaindi shughuli zako bila kuwa na dawa (kumiliki muhogo) wa kukutoa stress.....we si umeona...Le Madame De Speaker of House of Commons.....anavyochemka baada ya kupita hiyo....STAGE YA 30's....bila bila....Hadi leo, Full stress.....sasa how comes you will manage Your own business without MPINGo......of You're ownership? Be realistic Masai Dada...you have credibility in JF.
 
Sio 30's tu,hata kuwa late 40's bado sio sababu ya kuolewa na yeyote anayekuja mbele yako na ku propose ndoa.
Thamani ya mtu haishushwi na umri,usiolewe kisa umri unaelekea alasiri ukaishia kuishi maisha ya majuto.

VERY GOOD! Lakini BE HONEST.....je haya yaliyozungumzwa....to great extent...they are prevailling in our society and you know about it ...IS IT NOT?
 
Ni kweli usemalo lakini wadada wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Wewe ukitaka usifiwe na akina dada anzisha mada za kuwasifia hapo utashangiliwa sana. Sasa hizi mada chokonozi za kufunuliwa chupi, we hapo jiandae tu kupigwa mawe
 
Aah ninalo basi! Nipo tu apa nshaanza kurembua naona dalili za kubakwa na usingizi

Lakini kama mmiliki alishapatikana hakuna shida maana uchovu wote wa usingizi ikifika mida mida ileeeee Mr.husband atawajibika, lakini tatizo linakuja kwa hao ambao bado wapo wapo kwanza hadi ALASIRI INAINGIA....bila bila
 
Sasa wakitoa vigezo vya kawaida sana watajitokeza wabovu zaidi. Ni kheri watoe vigezo vigumu angalau watajitokeza wenye unafuu. Mtu kutoa masharti magumu haimaanishi kila sharti/kigezo kuzingatiwa hapana. Kwenye kumi ukiwa na saba au nane utakubalika tu.
 
Sasa wakitoa vigezo vya kawaida sana watajitokeza wabovu zaidi. Ni kheri watoe vigezo vigumu angalau watajitokeza wenye unafuu. Mtu kutoa masharti magumu haimaanishi kila sharti/kigezo kuzingatiwa hapana. Kwenye kumi ukiwa na saba au nane utakubalika tu.

Si ndio hapo sasa mtu mwingine hana kigezo hata ya nusu kabla kufikia moja alafu naye analalamika, kama wanaume wanavyochagua hata wanawake wana vigezo vyao atiii, mbona wapo wanaume ambao kupata wenzi wanasanda hadi huruma mwisho anajizolea tu, hao mbona hawafunguliwagi nyuzi??
 
Back
Top Bottom