Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,913
Wakuu nimepata taarifa kwamba kuna jamaa wamepora milioni 60 kwenye duka la nondo hapo Buguruni karibu ya sheli.
Nasikia jamaa walikuja Boxer kisha kuwaonyesha Chuma jamaa na jamaa wakaachia pesa.
Ila utata ni kwamba walioibiwa ni wateja ambao walifika pale,sasa inaonekana hawa majambazi waliwafuatilia muda mrefu.Hizi ndio zile issue za kuchomana ndani kwa ndani.
Nasikiwa walikuwa na Boxer,na kufika dukani jamaa ile kutoa pesa wakawabana pale pale wakasepa,jamaa akajaribu kuwakimbia na Pikipiki ya kichina akashindwa kasi jamaa wakasepa.
Mwenye taarifa Kamili watujuze.