Re: Wahaya wako juu sana aisee

NA wewe na kaka zako muacha tabia za kununua hizo nyuchi.. kwanini msitongoze wachaga wenzenu wa kibosho ambao hulala kama magongo kitandani.. hakuna manjonjo yoyote.. yani wachaga kny mapenzi ni zero kabisa.. pyuuu


wahaya bwana unalipwa elf50 unaitwa manager unacheka ila mchaga atalipwa laki5aitwe mlinzi, wahaya ur lost proud of stupidity na bahat yenu malaria kubwa karib iwamalze waambie dada zako waache kuuza nyuchi zenyewe nyeusi kama mkaa
 
[h=6]Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God[/h]

me too!
 
Mhaya ukikutana nae tu utamjua kwa muonekano,akiongea ndo kabisa!sasa kumbe hata akitype kumbe anajulikana!?wacheni sifa za kijinga!
 
JALUO ndo bingwa wenu ye haitaji sifa zote hizo ni action tu kama OBAMA.THE ONLY TRIBE YOU CAN FIND WHEREVER YOU GO IN EAST/CENTRAL AFRICA AND USA........... ila sifa zenu tunazijua njoo tmk sudan,yombo,magomen na tandika mnatupunguzia kazi kwa wake zetu... kwanza bei chee kuanzia buku mpaka buku 2....
 
Hawa jamaa ni soo kama usemavyo:
Ndio maana ukiwakuta utaskia mimi nshomile bwana hata kama kaishia darasa la pili,
mara ohh you mgambire stupid infront of my wifes wowooo.....
skia hii sasa muhaya mmoja alikutwa na jamaa akaulizwa unafanya kazi wapi na ni kazi gani?
Muhaya: Actualy infact nipo pale muhimbili kwa sasa.
Jamaa: Kitengo gani?
Muhaya: Aaah very dedicated kitengo na muhimu sana.
Jamaa: Kipi?
Muhaya: Kile cha wale wagonjwa walio shindikana na madaktari bingwa.
Hahahahaaaaa kumbe akiwa ana maanisha mochwari.
 
ni kweli kabisa wanajituma, juzi niliona picha wakiwa wanajituma kumpigia salute nape alivyokua akikagua gwaride lao la magreen guards siku aliyoenda kuwatembelea huko bukoba.

nimeipenda sana hii, huku wakiwa wamelala usingizi wa pono mbele ya watusi wakijitwalia ardhi ya kagera bila tabu yeyote wakiwaacha wakijisifu wanaakili! tunataka matendo na si maneno matupu.
 
NA wewe na kaka zako muacha tabia za kununua hizo nyuchi.. kwanini msitongoze wachaga wenzenu wa kibosho ambao hulala kama magongo kitandani.. hakuna manjonjo yoyote.. yani wachaga kny mapenzi ni zero kabisa.. pyuuu

nyie wenyewe dada zenu mnawaogopa mnakimbilia kwa wachaga, wangekuwa wanalala kama magogo mngewaoa wa nini? UKWELI MNATAFUTA MBEGU ZA WATEULE!
 
Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God

Nobeiya kyoma. Kale kamchezo kao kakubwa hujakataja. :violin::violin::violin::violin:
 
ha ha ha very funny wahaya kujituma mnajituma ila tatizo lenu ni wabinafsi sana yaani hampendani, wahaya wanapenda aishi kwenye nyumba nzuri au kazi nzuri wakati muhaya mwenzake amnyenyekee ila wachaga pamoja na kuuza viosk mnavyosema wanasaidiana sana na wananyanyuana wote,nimeishi muleba miaka 10 nawajua vizuri hawa, pendaneni na msipende kuabudiwa na binadamu mwenzako mnataka siku zote msifiwe tu ilingali ndugu zenu wengine wanahitaji.
 
Back
Top Bottom