Re: Wahaya wako juu sana aisee

Re: Wahaya wako juu sana aisee

Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God
Yote ulosema ni kweli ila umesahau moja la muhimu. Wahaya wanahusudu sana ukabila. Nawapa pole kwa hilo!
 
kapi hako boss...????? ka kuwagongea dada zenu...???? ha ha ha ah ah... kama kawa tupo
tatizo dada zako wewe pesa mbele ! Tena hakuna kuvua viatu wala kuweka "karufundi" (ufundi)!
Hivi hili gonjwa lilianzia wapi !? Katerero !?
 
Wahaya hakuna kitu bwana kama ni ishu ya Kubarikiwa na mungu basi Wanyakyusa ndo Mpango mzima,zaidi ya nusu ya Makanisa yote nchi wanayaendesha wao,Ukarimu ,busara na Umakini kwenye kufanya jambo hiyo ni sifa nyingine kubwa,hawana majivuno yasiyo na msingi kama wahaya,na sifa zingine nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi.
 
[h=6]Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God[/h]

N kwl ila mbona kuuza ivitunguu vyachanganya buku makoloboi usiku ujathema.
 
Gonjwa ni kwa sababu za kijiografia i mean ukaribu na Uganda....
 
N kwl ila mbona kuuza ivitunguu vyachanganya buku makoloboi usiku ujathema.

Nimelike comment yako bahati mbaya aisee.. siajamaanisha!!!!! vitunguu pale wakurya wa igogo na bugando ndo walikua wamejaa pale wewe.. usisingizie wahaya
 
Wahaya hakuna kitu bwana kama ni ishu ya Kubarikiwa na mungu basi Wanyakyusa ndo Mpango mzima,zaidi ya nusu ya Makanisa yote nchi wanayaendesha wao,Ukarimu ,busara na Umakini kwenye kufanya jambo hiyo ni sifa nyingine kubwa,hawana majivuno yasiyo na msingi kama wahaya,na sifa zingine nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi.

Sijaona busara zako kabisa hapo.. au we ni mzee wa busara ukimaanisha uchawi.. kuwa na makanisa mengi si kubarikiwa.. hataa mchungaji aliyekamatwa na viungo vya albino ni wa hapo hapo Mwanjelwa.. wanyakyusa ni vigeugeu tu.. si unamuon ndugu yenu huyu mwanasiasa anavotafuta political gain sa hv.. hakuna kitu hapo wa busara
 
Wahaya bana nini mnafilisika mkiwa wazee,nlipita Kagera sikuamini macho kumechoka ,watu wamechakaa !ushamba mwingi na sifa za kijinga
 
Na hile tabia nyingine je? ucogpe ni kupenda pesa
 
wahaya bwana unalipwa elf50 unaitwa manager unacheka ila mchaga atalipwa laki5aitwe mlinzi, wahaya ur lost proud of stupidity na bahat yenu malaria kubwa karib iwamalze waambie dada zako waache kuuza nyuchi zenyewe nyeusi kama mkaa
 
Hahaha kwa hiyo post u r trully a mhaya!
 
Subiri usifiwe si kujisifu pasipokuwa na maana
 
[h=6]Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God[/h]

teh!teh!teh!
Nilitegemea tu lazima utakuwa mhaya maana wahaya wanapenda sana kusifiwa na kujisifu.
 
Back
Top Bottom