Fatuma kimimino
Member
- Jan 3, 2012
- 11
- 4
Ujinga ni kufikiri eti kabila lenye wa2 bahili ni wachaga 2
ujinga ni-tabia ya m2 m1 inakufanya uamini kuwa ni tabia ya kabila lao,mfano,unamuona binti anagawa p..sy sana na kwa vile ni mpare,basi wewe ulivyo mjinga unajua kuwa mabinti wa kipare wote ndivyo walivyo, MPOMPOPO mkubwa we.
jamani mieee jf siondoki kwa hizi raha nizipatazo!!! uiiii!!Ni ujinga kuchokonoa masaburi na kunusa kidole after that