Re: Ujinga

Ujinga ni bhange.fuso unaiona kama kiberiti,njiti unaiona kama gogo,ugari unauona kama kichuguu,
 
Ujinga ni bhange.fuso unaiona kama kiberiti,njiti unaiona kama gogo,ugari unauona kama kichuguu,

tehe tehe tehe.. Kikongwe unamuona kama binti, kinyesi kama keki
 
Ujinga ni kuangalia tamthiliya au movie mpaka kulia wakati ni dhahir unajua kwamba kina cho igizwa humo ni urongo/uongo.

Hii inwatokea sana kina mama, hasa kny hizi picha za kinigeria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…