Re: NATAFUTA AMPLIFIRE

Re: NATAFUTA AMPLIFIRE

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Ni Amplifire za kurushia picha kwenye cable. Nilishawahi andika hapa kuna baadhi wakanishauli nitumie faiba kuwaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hiyo faiba wakaingia mitini. Njia nnayoielewa vizuri ni hiyo ya kutumia Amlifire nahitaji powerful amplifire mwenye kufahamu zilipo ani PM. Napokea changamoto kutoka kwa wadau. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom