Msaada amplifire za kurushia picha

Msaada amplifire za kurushia picha

Mshumaaa

Senior Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
156
Reaction score
17
Ni Amplifire za kurushia picha kwenye
cable. Nilishawahi andika hapa kuna
baadhi wakanishauli nitumie faiba
kuwaomba ufafanuzi zaidi kuhusu hiyo
faiba wakaingia mitini. Njia
nnayoielewa vizuri ni hiyo ya kutumia Amlifire nahitaji powerful amplifire
mwenye kufahamu zilipo ani PM.
Napokea changamoto kutoka kwa
wadau. Natanguliza shukrani.
 
only three types of Power Amplifires:used for
- audio signal amplifying
- Radio Frequency amplifying
- Controlling Servo Motors

Sasa za kurusha picture...una maana gani?
Au unatafuta cable za composite,rca,video cable.
Hata hiyo Fibre Optic cable ya hurusha data video,audio..
Au una maanisha Projector!

??????
 
only three types of Power Amplifires:used for
- audio signal amplifying
- Radio Frequency amplifying
- Controlling Servo Motors

Sasa za kurusha picture...una maana gani?
Au unatafuta cable za composite,rca,video cable.
Hata hiyo Fibre Optic cable ya hurusha data video,audio..
Au una maanisha Projector!

??????

Nnamaana picha pamoja na audio zinazopitia kwenye cable ambapo hiyo Amplifire ndo inasaidia kupeleka picha mbali kuna moja naitumia ila kutokana na watu kuongezeka nahitaji powerful ili ipeleke picha bora.
 
kupeleak picha na audio wapi...?? Kwenye screen, tv au ukutani??
 
Back
Top Bottom