Naomba msaada wa kujua kama kuna mtu anaijua website, inayoshughulika na exporting light duty construction equipment kutoka Japan.Nazungumzia vifaa kama double roller double drum, asaphalt cutter, bitumen sprayer Nk. Ninataka kununua vifaa hivyo toka Japan, kwani wanao ubora wa vifaa kama hivyo.Utanisaidia sana kama utaieleza endapo umeshawahi kuagiza toka kwao na kama huduma yao ni nzuri.