Re:kumpa password..mupenzi

Sina cha kuficha ila nadhani kila binadamu anahitaji uhuru. Hata kama niko kwenye ndoa, kuna wakati nahitaji kuwa "mimi" na si "sisi". Ni mtizamo wangu tu.

Mkitaka kushare inawezekana, kuna joint venture account, mnaweza mkafunguwa joint venture email & a lot of blah blah bla,..........ila nitaikubali hiyo share mnayoipigia upatu hapa kama mtakubali kushare na kifo, ili mmoja atakapokufa basi mkazikwe wote, hapo nitajuwa kweli mlikuwa tayari kushare maisha yenu.
By the way swala la mahusiano ni kila mtu anavyolipa uzito wake, mimi binafsi najuwa wazi kwamba mwanamke sio ndugu yangu na haitokaa itokee mwanamke akawa ndugu yangu. Mungu alishatuelekeza wanaume kwamba tuishi nao kwa akili hawa.

Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.

Je hii ni FAIR..?
Kama kweli mko ktk mapenzi ya dhati, basi sioni tatizo kwani unaficha nini huko usikotaka password mkeo/mumeo ajue

Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.

Je hii ni FAIR..?

Not fair. Why would your girlfriend or boyfriend need your ATM PIN kama si maslahi?
Mapenzi ya ukweli yasihusishe hela.
I encourage people to look into prenup agreements kabla hawajaoa au kuolewa na wapenda PIN za wenzao.

I hate sharing my so called email passwords!! I once told mine that, my email contains some confidential info which is a part of my Professional Conduct!! nikikupa nitakuwa siitendei haki kazi yangu na bado nitakuwa narisk hizo documents.

Akakomaa, na mimi nikakomaa and I was serious zaidi yake. Ikabidi aniachie password zangu.

Kwa maoni yangu! Hii tabia haifai, hata kuchunguzana kwenye simu nayo haifai, kwani mtu ukiwa kwenye mahusiano na bado unatamani nje, then utakuwa hujaridhika na mwenzi wako au bado utakuwa kwenye umri wa kuruka kuruka, hujatulia yaani.

I have nothing to hide to my Wife, Mke wangu anajua account zangu za Benki, anajua password yangu ya Mpesa, anajua password yangu ya NMB mobile, na most of them ni aidha Umri wake au Jina Lake

There is only one person i'd trust with my password. My best friend, not my lover

We call it love
I have nothing to hide to my Wife, Mke wangu anajua account zangu za Benki, anajua password yangu ya Mpesa, anajua password yangu ya NMB mobile, na most of them ni aidha Umri wake au Jina Lake

Jamani nyie mlio wasiri hamjapenda bado. Ah. I can hide nothing from my sweety. Mnaogopa nini jamani? Yani hata sikumbuki kama hubby aliniomba pasword zangu au niliamua kumpa tu na za kwake hata sikumbuki ilikuwaje ninazo. Hivi vitu ukipenda vinakuja vyenyewe wala amuombani. And that makes me feel sooo good, soo loved.
I have nothing to hide to my Wife, Mke wangu anajua account zangu za Benki, anajua password yangu ya Mpesa, anajua password yangu ya NMB mobile, na most of them ni aidha Umri wake au Jina Lake

Not fair. Why would your girlfriend or boyfriend need your ATM PIN kama si maslahi?
Mapenzi ya ukweli yasihusishe hela.
I encourage people to look into prenup agreements kabla hawajaoa au kuolewa na wapenda PIN za wenzao.
Gud Idea

I hate sharing my so called email passwords!! I once told mine that, my email contains some confidential info which is a part of my Professional Conduct!! nikikupa nitakuwa siitendei haki kazi yangu na bado nitakuwa narisk hizo documents. .

What does your personal email have to do with professional conduct?

Infact sioni tatizo na inaetegemea mlikuwaje kabla ya Kuoana au wakati Mapenzi yenu yanaanza

Tatizo ni Pale Mnapokuwa kwenye mahusiano kwa Miaka mitano au Zaidi Mmoja wenu anaanza kuficha, kama mmeamua hivyo Tangu mko marafiki ni vizuri mkeaendelea hivyo kama kweli hamna mnaoficha.

Back
Top Bottom