G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,595
- 36,015
Wimbi la katazo la shughuli za kisiasa limeendelea kushika kasi na awamu hii mwana jeshi brigedia Jenerali mstaafu Emanuel Maganga, mkuu wa mkoa wa Kigoma amepiga marufuku mikutano ya kisiasa mkoani kwake.
Brigedia Jenerali Maganga amesema kuwa mikutano ya kisiasa inasababisha migomo na kuzorotesha maendeleo hivyo ni marufuku mkoani kwake.
Brigedia Jenerali Maganga amesema kuwa mikutano ya kisiasa inasababisha migomo na kuzorotesha maendeleo hivyo ni marufuku mkoani kwake.