RC Singida: Nilimuweka DMO rumande ili apate akili

CCM wanaiendesha hii nchi kibashite-bashite kila siku ujinga ujinga tu.
 
Binafsi ninafikiri kuna haja saana ya kutafakari katika nchi huru, wanahitajika viongozi au watawala.
 
huyu mkuu wa mkoa magu awasaidie medical students amlete vyuoni aweweke med students mahabusu akili ziongezeke🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 

Kwa hiyo kama ni utafiti Daktari hana ruhusa ya kutangaza matokeo, lakini ikitokea kuna kipindupindu ndio daktari anaruhusiwa kutangaza hali ya hatari hapa sio mwenyekiti tena wa kamati ya ulinzi na usalama. Ebu acheni tukae kimya kwanza muda wa kazi huu.
 
Awamu hii ya Viwonder ili uonekane mtendaji mzuri lazima usweke watu ndani.
 
!
!
daktari anaweza kuwa mkuu wa wilaya au mkoa hata kesho tu rais akitaka, ni swala la uteuzi tu kama vile mimi ninavyoteua flana gani nivae leo. Ila hata raisi apende vipi Mkuu wa wilaya au mkoa hawezi kuwa Daktari mpaka na mpaka tu aende shule miaka kadhaaaa. Wateule wajifunze kuheshimu kazi za wenzao
 
Kama ni kweli katamka hivyo atumbuliwe haraka
 
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili

Akili za darasani au zipi hizo?

Kazi zote anazo fanya DMO alisomea miaka hiyo yote?
 
Ma DC na Ma RC hawana KAZI ndio maana wanatafuta sana kuonekana kwenye TV.
Kumuweka mtaaalamu kama dr lupango ni sawa na kucma wanasiasa hawataugua milele, bila kwenda kutibiwa, vinginevyo umejenga wingu nene na madaktari wote tanzania, tafakari kabla hujatenda faida na hasara
 
!
!
kwa kigezo cha kupata akili kama RC angekuwa na akili, angejiweka yeye kwanza kwasababu nadhani ana vikeibii tu apsteaz
 
Mpaka uwe daktari inachukua miaka mitano chuo ukisoma, mpaka kuwa mkuu wa mkoa inakuchukua miaka mingapi chuo? Ukipata jibu utajua nani hana akili
Kuwa RC inahitaji kuwa na kadi ya chama, elimu hata ukifoji sawa
 
Unataka kuniambia waziri mkuu hana power dhidi ya mkurugenzi kisa wote wameteuliwa na mtu mmoja?
Hana power ya kumfukuza kazi,labda kumsimamisha wakati anamshitaki kwa bosi.
 
Hapo ndipo nawashangaa wanawake wanaomba haki sawa waaminiwe kwenye madaraka matokeo yake mikurupuko naona mwendelezo wa yule dc wa njombe kumpiga kibao diwani unaendelea ngoja muwekwe benchi sijui mtaficha wapi hizo sura
 
Anacheza na taaluma, nakumbuka Dr. Baki aliwahi kumfanyinzia RPC aliyemletea pesa za moto. Mbona jamaa alikuwa mdogooo kama kapiriton.
 
Kumuweka mtaaalamu kama dr lupango ni sawa na kucma wanasiasa hawataugua milele, bila kwenda kutibiwa, vinginevyo umejenga wingu nene na madaktari wote tanzania, tafakari kabla hujatenda faida na hasara
Wanatibiwa India
 
wanalewa madaraka hawa wanasiasa, mpuuzi kabisa huyu RC anazadi udaktari ni sawa na kazi kubwabwaja kama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…