Haya ndio makabila 10 yenye uwakilishi mkubwa kiuchumi

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
MUHIMU: Tanzania bado ni nchi yenye wananchi wengi masikini, Hata katika makabila yaliyotajwa (yenye asili ya afrika), bado wenye maendeleo ni wachache, Orodha hii imejikita kwenye uwakilishi wa watanzania wachache wenye maendeleo na kisha kutazama uwakilishi kwa kigezo cha idadi na hatua za kimaendeleo.

Haimaanishi kwamba kila mtu wa kwenye kabila husika ana maendeleo, LA HASHA!! Wapo watu wa makabila yaliyotajwa wana ishi katika ufukara na pia wapo matajiri waliotokea makabila ya chini.

1. Raia wenye asili ya bara la asia - Wahindi, waarabu, wachina.

2. Wachaga

3. Wakinga

4. Wapemba

5. Wasukuma

6. Wahaya

7. Wanyakyusa

8. Wapare

9. Waha

10. Wakurya

fg.jpg
 
5 & 9 ni uongo wasukuma na waha ni maskini wa kutupwa
Wana uwakilishi mzuri tu kwa kigezo cha idadi katika kundi la watanzania wachache waliofanikiwa (watanzania wengi bado wana maendeleo duni bila kujali kabila)

Wasukuma wapo wasomi, wakulima wakubwa, wafanya biashara hasa madini, n.k. ambao wanaweka uwakilishi si haba katika kundi la watanzania waliofanikiwa.

waha nao wamo wamo kwenye biashara wana title yao kimtindo

Tatizo nahisi unaangalia kabila zima,

ukitumia hii approach hata waarabu wapo choka mbaya
 
MUHIMU: Tanzania bado ni nchi yenye wananchi wengi masikini, Hata katika makabila yaliyotajwa (yenye asili ya afrika), bado wenye maendeleo ni wachache, Orodha hii imejikita kwenye uwakilishi wa watanzania wachache wenye maendeleo na kisha kutazama uwakilishi kwa kigezo cha idadi na hatua za kimaendeleo.

Haimaanishi kwamba kila mtu wa kwenye kabila husika ana maendeleo, LA HASHA!! Wapo watu wa makabila yaliyotajwa wana ishi katika ufukara na pia wapo matajiri waliotokea makabila ya chini.

1. Watu wenye asili ya bara la Asia - Wahindi, waarabu na wachina. Haya japo ni mataifa ila kwa hapa bongo tunawachukulia kama kabila kuwaita wale waarabu, wale wahindi, n.k.

2. Wachaga

3. Wakinga

4. Wapemba

5. Wasukuma

6. Wahaya

7. Wanyakyusa

8. Wapare

9. Waha

10. Wakurya

View attachment 2549507
11.Wanyiramba
 
Back
Top Bottom